BANK ACCOUNTS

YAKO ACCOUNT
Lengo: Kuwawezesha watu kuweka akiba
Sifa za Akaunti na Masharti
- Kiasi cha kubakisha kwenye akaunti = TZS 5,000
- Gharama za kuendesha akaunti = TZS 0
- Masharti ya kutoa = Hakuna
- Faida kwa mwaka = 8%
- ATM Card = TZS 5,000

FAMILY ACCOUNT
Lengo: Kuwawezesha wana ukoo na familia kuwa na uwezo wa kuhimili tatizo linapojitokeza kama vile ugonjwa kifo.nk
Sifa za Akaunti na Masharti
- Kiasi cha kufungulia account = TZS 0
- Kiasi cha kubakisha kwenye akaunti = TZS 20,000
- Masharti ya kutoa = Hakuna
- Faida kwa mwaka = 8%
- Ada kwa Mwezi = 0

JIPANGE ACCOUNT
Lengo: Kuwawezesha watu kuweka akiba kwa malengo maalum.
Sifa za Akaunti na Masharti
- Kiasi cha kufungulia account = TZS 0
- Kiasi cha kubakisha kwenye akaunti = TZS 20,000
- Gharama za kuendesha akaunti = TZS 0
- Masharti ya kutoa = Hakuna
- Faida kwa mwaka = 10%
- Kutoa baada ya miezi sita au zaidi.

MSOMI ACCOUNT
Walenga: Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari kuanzia umri wa miaka 10 mpaka 17
Sifa za Akaunti na Masharti
- Kiasi cha kufungulia account = TZS 5,000
- Kiasi cha kubakisha kwenye akaunti = TZS 5,000
- Gharama za kutoa = TZS 0
- Masharti ya kutoa = Hakuna
- Faida kwa mwaka = 8%
- Ada kwa Mwezi = 0.

VICOBA ACCOUNT
Walengwa: VICOBA na wanachama wake.
Sifa za Akaunti na Masharti (VICOBA)
- Kiasi cha kufungulia account = TZS 0
- Kiasi cha kubakisha kwenye akaunti = TZS 20,000
- Gharama za kutoa = TZS 1,000
- Masharti ya kutoa = Hakuna
- Faida kwa mwaka = 8%
- Ada kwa Mwezi = 0
Sifa za Akaunti na Masharti (MWANACHAMA)
- Kiasi cha kufungulia akaunti = TZS 0
- Kima cha chini kwenye akaunti = TZS 5,000
- Ada kwa mwezi = 0
- Gharama ya kutoa fedha kaunta = 0
- Ukomo wa kutoa = Hakuna
- Faida kwa mwaka = 8%