


Our client portfolio
YETU MICROFINANCE BANK PLC, YAFUNGUA TAWI MNGETA, KILOMBERO.





Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu Mh. Anthony Mavunde alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa tawi la Yetu Microfinance Bank PLC – Mngeta Branch lilipo Kilombero. Sherehe hio ilihudhuriwa na mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mh James Ihunya pamoja na wateja na wananchi.
ABOUT US
Yetu Microfinance bank is dedicated to provide financial services to the unbanked and under banked people of Tanzania. Yetu Microfinance bank was born out of the transformation of Youth Self Employment Foundation (YOSEFO), an NGO which was established in 1997 and successfully managed microfinance business on a sustainable basis
Yetu Microfinance bank ikishirikiana na Greentek Company, huandaa mafunzo ya mara kwa mara juu ya kilimo cha green house pamoja na umwagiliaji wa matone. Mafunzo haya hufanyika kwa vitendo na nadharia. Pia kwa kupitia mafunzo haya, Yetu Microfinance Plc humuwezesha mhitimu wa mafunzo kupata mkopo wa kilimo hichi cha kisasa
Je, unataka kushiriki?
Fuatilia ukurusa wetu wa facebook ili kujua tarehe za semina yetu
Image Slide
- General
- SEO
- Crop
Image Slide
- General
- SEO
- Crop
Image Slide
- General
- SEO
- Crop
Image Slide
- General
- SEO
- Crop
Image Slide
- General
- SEO
- Crop
Image Slide
- General
- SEO
- Crop