HOUSING LOANS
MIKOPO YA KUBORESHA MAKAZI
Walengwa: Watanzania wa vijijini na miji midogo wanaotaka kuboresha makazi yao hususani kukarabati nyumba, kumalizia mapagala, gharama za kuingiza umeme (solar au Tanesco) na mfumo wa maji taka.
Masharti ya mikopo:
- Ada: 1% ya kiasi cha mkopo
- Riba: 17% kwa mwaka
- Bima ya mkopo : 1.5%
- Akiba ya awali: 15% ya kiasi cha mkopo
- Muda wa mkopo: Miezi 3 hadi miaka minne.
Marejesho: Kwa kila mwezi baada ya kipindi cha maangalio
Dhamana: Offer na hati kwa wakazi wa miji midogo na uthibitisho wa ukazi, kutoka serikali ya kijiji kwa watu wa vijijini. Nyumba husika na mali nyingine za mteja.
Kiasi cha mkopo: TZS 300,000 hadi TZS 10 million
Matawi na vituo vinavyotoa mikopo ya makazi:
Mngeta, Ifakara, Masasi, Lupiro na Ruaha.