MAFUNZO YA KILIMO(NEW)
FURSA FURSA FURSA FURSA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
YOSEFO kwa kushirikiana na Yetu Microfinance PLC watakuwa na mafunzo ya kilimo cha Green House na umwagiliaji wa matone tarehe 20,21 na 22 Juni 2016. Mafunzo yatakuwa ya nadharia na vitendo katika kituo cha Jet Lumo –Vituka Dar es Salaam. Mafunzo yatahusu:
1. Mbinu za kilimo bora,
2. ujengaji wa Greenhouse
3. upatikanaji wa zana za umwagiliaji wa matone(drip irrigation).
Walengwa: Wajasilia mali wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha bustani cha kutumia Greenhouses or tunnels na umwagiliaji wa matone.
Pia washiriki wataweza kuona Mfano (demo site) wa green house na umwagiliaji wa matone uliojengwa hapa hapa Dar es salaam
Ada ni 50,000
Mwisho wa maombi ni tarehe 10 june