Yetu Microfinance Bank PLC
YETU MICROFIN
  • Home
  • About us
    • Vision and Mission
  • Bank Services
    • Bank Accounts
    • Loans Services
    • ATM Services
    • Yetu Insurance
    • Mobile banking
  • Resource Center
    • Financial reports
    • Green House Training
    • Publications
    • Prospectus
    • Download Prospectus
  • Contact us
    • Head office
    • Our Branches
  • Careers
Screen Shot 2017-07-06 at 5.29.12 PM
May 29 2017

MKUTANO MKUU WA PILI WA WANAHISA WA YETU MICROFINANCE BANK PLC

administrator NEW, Uncategorized

Taarifa inatolewa kwamba mkutano mkuu wa pili wa wanahisa wa Yetu Microfinance Bank PLC utafanyika siku ya jumamosi tarehe 10 Juni, 2017 katika ukumbi wa msimbazi Dar es Salaam kuanzia saa tano(5:00) kamili asubuhi kujadili dongoo zifuatazo.

  1. Kufungua Mkutano
  2. Kuridhia dondoo
  3. Kuthibitisha kumbukumbu za mkutano wa kwanza
  4. Kujadili yatokanayo na kumbukukumbu za mkutano wa kwanza
  5. Kupokea na kujadili taarifa za bodi ya wakurugenzi na taarifa za hesabu zilizokaguliwa za mwaka 2016.
    1. Taarifa ya bodi ya wakurugenzi
    2. Hesabu zilizokaguliwa za mwaka 2016
    3. Gawiwo kwa mwaka 2016
  6. Kuidhinisha ada ya wakurugenzi
  7. Kuteua wakaguzi wa hesabu
  8. Menginayo kwa idhini ya mwenyekiti
  9. Kufunga mkutano

MAELEZO: 

  1. Makabrasha ya mkutano yanapatikana matawini na kwenye vituo vyetu kuanzia tarehe 2 Juni, 2017,vinginevyo yatapotikana kwenye ukumbi wa mkutano tarehe 10 Juni, 2018.
  2. Wanahisa wanaotaka kuhudhuria mkutano, watajigharamia usafiri na malazi na hapatakuwa na malipo ya posho

TAARIFA YA SEMINA KWA WANAHISA

Kutakuwa na semina kwa wanahisa itakayolenga kutoa elimu ya “Fursa na Changamoto za uwekezaji katika hisa”, taratibu mbali mbali mwanahisa anatakiwa kuzifahamu kuhusu uwekezaji wake, taaratibu za uuzaji wa hisa na vitu vinavyoathiri thamani na bei ya hisa katika soko. Semina hio itafanyika siku ya mkutano kuanzia saa mbili na nusu hadi saa tano katika ukumbi wa msimbazi centre.

Nafasi ya ujumbe wa bodi DIVIDEND ANNOUNCEMENT

Related Posts

financial-statements-28845002

Uncategorized

Financial Statements December 2017

shares

News, Uncategorized

FOMU NA MAELEKEZO YA GAWIO LA HISA

DIVIDENDS

Uncategorized

DIVIDEND ANNOUNCEMENT

Siku ya leo

June 2023
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« Feb    
Yetu Microfinance Bank PLC
  • Home
  • About Us
  • Our products
    • Loans Services
    • Savings
    • Mobile banking
    • Housing Loans
    • ATM Services
    • POS devices
  • Resource center
    • Green House Training
    • Partners/Alliances/Sponsors
    • Publications
    • Financial reports
  • Media centre
    • Photo Gallery
  • IPO
    • IPO EXTENSION
    • Special dates
    • Executive summary
    • Full prospectus
  • Contact us
    • Head office
    • Our Branches
    • Our financial services centres
    • Complaint resolution unit
  • Careers
    • Prospectus
  • Yetu Insurance
  • Bank Accounts
© Yetu Microfinance Bank PLC 2023
Proudly powered by Lematrix Tanzania