Yetu Microfinance bank ikishirikiana na Greentek Company, huandaa mafunzo ya mara kwa mara juu ya kilimo cha green house pamoja na umwagiliaji wa matone. Mafunzo haya hufanyika kwa vitendo na nadharia. Pia kwa kupitia mafunzo haya, Yetu Microfinance Plc humuwezesha mhitimu wa mafunzo kupata mkopo wa kilimo hichi cha kisasa.

Download training materials below

Agribusiness Training Paper

[metaslider id=366]

Leave a Reply